Popular posts from this blog
Audio Download|Ivan-Romantic.
Angel Benard-I Still Believe.
New Audio Madada Sita (6) Kiswala.
Lorenzo Feat Mesen Selekta Official Audio.
Audio Download|Alicios Feat Khaligraph Jones-Ya Nini?
Donald Trump Atetea kuhusu Mkutano na Wakili wa Urusi aliyedai kuwa Taarifa kumhusu Hillary Clinton.
Trump Junior atetea mkutano na wakili wa Urusi aliyedai kuwa na taarifa kumhusu Hillary Clinton. Trump Jr anasisitiza kuwa wakili huyo hakutoa taarifa muhimu kumhusu Bi H . Clinton Mtoto wa kiume wa Rais wa Marekani Donald Trump amevishambulia vyombo vya habari kufuatia madai ya mkutano na wakili mrusi ambaye alisema kuwa alikuwa na habari za kumchafulia jina Hillary Clinton. Donald Trump Jr amekana kutoa habari za kukanganya kuhusu mkutano huo wa mwaka uliopita. Pia amesema kuwa lilikuwa jambo la kawaida kupata taarifa kuhusu wagombea pinzani. Donald Trump junior alifanya mkutano na wakili wa Urusi,Maafisa nchini Marekani wanachunguza madai yanayohusu Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani. Mkwe wa Trump Jared Kushner na aliyekuwa mkuu wa kampeni Paul J Manafort, walikuwa pia katika mkutano huo na Natalia Veselnitskaya. Jared Kushner hajazungumza kuhusu taarifa ya Donald Trump Jr Trump Jr anasisitiza kuwa wakili huyo hakutoa taarifa muhimu kumhusu ...
Comments