Machache Kuhusu Korea Kaskazini(North Korea).
MACHACHE ZAIDI KUHUSU KOREA KASKAZINI . 1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha yaani Drug. 2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani. 3. Wakati dunia nzima leo ni 2017 kwao ni mwaka 106 wakihesabu kuanzia kifo cha kiongozi wao Kim il-Sung-.Baba wa taifa lao Kim II-Sung alizaliwa 15.04.1912 siku ilipozama meli ya Titanic . (Rais wa Maisha wa Korea Kaskazini ni Kim Il Sung. Mtoto wake na mjukuu wake wamekuja kuwa viongozi tu, lakini yeye mwenyewe babu yao ndiye rais mpaka leo, hata kama amefariki.....Eternal President of the Republic-Hayo ndiyo mambo ya North Korea). Hiyo siku ndio chanzo cha kalenda yao (Democratic People's Republic of Korea_Juche Korea[/QUOTE] year Gregorian year Dangun year-Kim alizaliwa 1912 ~ hapa ndio juche year inaanzia). 4. Kuanzia 2009 nchi hii sio ya kikomunist tena, wana msimamo au IDEOLOGY yaoo mpya unaitwa " JUCHE " wakimaanisha " KU...