Posts

Showing posts from July 11, 2017

Video Watch&Download|Khaligraph Jones-Gaza Official Video.

Image
Watch to new Video from Kenyan Rapper Khaligraph Jones known as Gaza . Click down here to get it in touch and enjoying it.                      DOWNLOAD MP4 .                 

Audio Download|Man P-Najituma.

Image
Listen to new Song from Man P known as Najituma and Produced by Producer Fraga from Uprise Music Record . Click down to get it.                     DOWNLOAD MP3 .

Shilingi Milioni 40.4 za kashfa ya Escrow zarejeshwa Tanzania.

Image
Shilingi milioni 40.4 za kashfa ya Escrow zarejeshwa Tanzania . Mbunge wa Sengerema na aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja , akiongea na wanahabari ambao hawako pichani, leo katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es salaam . Kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Habari Bi . Zamaradi Kawawa . YAH: KURUDISHA FEDHA (TZS MILIONI 40.4) NILIZOPEWA NA NDUGU JAMES RUGEMALIRA WA KAMPUNI YA VIP ENGINEERING AND MARKETING LTD. 1. Kama inavyokumbukwa, kutokana na ukweli kwamba ilisharipotiwa sana kwenye vyombo vya habari, kwamba tarehe 12/02/2014 nilipokea fedha kiasi cha shilingi milioni 40.4 za kitanzania kutoka kwa Ndugu James Rugemalira , mmiliki wa kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd. Fedha hizo nilizipokea kupitia akaunti yangu namba 00110102352601 ya Benki ya Mkombozi . 2. Fedha hizo nilizipokea, kwa nia njema, kama msaada/mchango kutoka kwa ndugu Rugemalira ili zinisaidie katika kutimiza majukumu yangu ya kibunge, hususan,kusaidiana na wa...

Donald Trump Atetea kuhusu Mkutano na Wakili wa Urusi aliyedai kuwa Taarifa kumhusu Hillary Clinton.

Image
Trump Junior atetea mkutano na wakili wa Urusi aliyedai kuwa na taarifa kumhusu Hillary Clinton. Trump Jr anasisitiza kuwa wakili huyo hakutoa taarifa muhimu kumhusu Bi H . Clinton Mtoto wa kiume wa Rais wa Marekani Donald Trump amevishambulia vyombo vya habari kufuatia madai ya mkutano na wakili mrusi ambaye alisema kuwa alikuwa na habari za kumchafulia jina Hillary Clinton.      Donald Trump Jr amekana kutoa habari za kukanganya kuhusu mkutano huo wa mwaka uliopita. Pia amesema kuwa lilikuwa jambo la kawaida kupata taarifa kuhusu wagombea pinzani. Donald Trump junior alifanya mkutano na wakili wa Urusi,Maafisa nchini Marekani wanachunguza madai yanayohusu Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani. Mkwe wa Trump Jared Kushner na aliyekuwa mkuu wa kampeni Paul J Manafort, walikuwa pia katika mkutano huo na Natalia Veselnitskaya. Jared Kushner hajazungumza kuhusu taarifa ya Donald Trump Jr Trump Jr anasisitiza kuwa wakili huyo hakutoa taarifa muhimu kumhusu ...