💥 Fursa 150 za ujasiriamali, biashara na miradi nchini Tanzania👇  Zijue Fursa 150 za biashara na miiradi mbalimbali nchini  Tanzania.  1. Kununua Mashine za kukoroga  zege na kukodisha.  2. Kununua Mashine za kukata  vyuma na kuzikodisha.  3. Kutengeneza na kuuza tofali  4. Ufundi, Website updating/  Database: Katika Halmashauri,  Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya  na Makampuni mbalimbali.  5. Kuanzisha kituo cha redio na  televisheni  6. Kufunga na kutengeneza vifaa  mbalimbali vya electroniki na  mawasiliano mfano; compyuta na  vifaa vya compyuta na  mawasiliano.  7. Kuuza software; mfano Antivirus,  Operating Systems, Pastel, Tally,  Myob, n.k  8. Kushona na kuuza nguo.  9. Kufungua Duka la kuuza nguo  mpya; suit, socks, batiki, nguo za  asili, Mashuka, Mashati, Suruali,  10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali  mfano Kondoo, Mbuzi, Ng’ombe,  Kuku, Bata, na wengine.  11. Kufungua stationery, kuuza  (supply) vitabu na vifaa mbalimbali  ktk mashule na vyuo.  12. Kutoa...