Posts

Showing posts from June 30, 2017

NCHI NYINGINE ZINAZOELEWA NA KUTAMBUA KAZI ANAYOIFANYA RAIS JOHN P.MAGHUFULI.

Image
ZITAMBUE NCHI AMBAZO WATU WAKE WAMEWAHI KUTAMAN KUONGOZWA NA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA TANZANIA; 1.Kenya mpaka kesho wanaonesha hali ya juu sana ya kumkubali MAGUFULI, Na wamekuwa wakituma ujumbe Mara kwa Mara kupitia ukurasa wa rais wa Kenya Mr uhuru Kenyatta, kuwa MAGUFULI njoo utuondolee ufisadi Kenya. 2. Colombia . Hii ni nchi maarufu sana dunian. Mwana riadha Carles Valdez, ameandika Mara kwa Mara katika kurasa zake, kuwa " the African rising star from Africa, please join us ,help us with this triumph corruption in our country ". 3. Uganda kwa Mzee mseven wametaka kuwa Na rais Magufuli, hawaijui Kiswahili vema, wanasema HIS EXCELLENCY JOHN POMBE MAGUFULI. ,NJOOO UTUNYOROOSHEEE, tunakutaka uku,. 4. USA , ni vigumu sana kuamini kwamba watu wa USA wanafuatilia pia, mmoja kaandika kwenye ukurasa wa Twitter kuwa, "Trump you are John too but you don't deserve to be respected as John of Tanzania, welcome to USA we need a president of your caliber ".