Posts

Showing posts from May 7, 2017

Shule ya Lucy Vicent Yafungwa.

Image
Shule ya Lucky Vicent imefungwa kwa siku saba kufuatia vifo vya wanafunzi wake 32 vilivyotokea kwenye ajali ya gari jana Karatu . Kutokana na ajali hiyo Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na wabunge wengine wa Chadema wamefika shuleni hapo kutoa pole. Lema kwa niaba ya Wabunge ameeleza kuwa wameweza kusikitishwa na msiba huu na amewapa pole wafiwa lakini akatoa angalizo kusiingizwe siasa katika msiba huu mkubwa. Meya wa jiji la Arusha Kalist Lazaro ameeleza kuwa Waziri wa Afya , Ummy Mwalimu , Waziri wa Tamisemi , George Simbachawene na Waziri wa Elimu , Profesa Joyce Ndalichako watafika jioni kuzungumza na wafiwa . Kesho Makamu wa Rais Samia Suluhu kwa niaba ya Rais John Magufuli ataongoza kazi kuaga miili ya wanafunzi hao Uwanja wa Sheikh Amri Abeid . Mkuu wa shule hiyo , Ephraem Jackson amesema Hadi sasa vifo ni 36 na wanafunzi wawili bado wamelazwa Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru . Wanafunzi hao ni Sadiely Ismail...

Darassa Hasara Roho Official Video.

Whatch and Download new Video from Darassa known as Hasara Roho Official Video.: https://youtu.be/HWs3F4hBM6A

Darassa Hasara Roho Official Video.

Darassa Hasara Roho Official Video. Bonyeza hapa chini kuitazama https://youtu.be/HWs3F4hBM6A

Darassa Utanitoa Roho

Darassa Utanitoa Roho Official video: Bonyeza hapa chini kuitazama https://youtu.be/AiNVoQOyEGg

Poleni kwa Wote Waliofikwa na Msiba Katika Ajali iliyotokea huko Karatu Arusha Tanzania

Eeee! Mungu kazidi kutuongoza katika hii safari yetu ya kila siku. Ona kila Mtanzania analia chozi la Damu na kujawa huzuni juu ya kitu ambacho hakukitegemea.Bwana zidi kutusimamia maana hatuijui kesho yetu kazidi kuwapa moyo Watanzania wote kwa kufikwa na Pigo kubwa la Msiba waDereva,Waalimu na Watoto Wadogo na zaidi na zaidi kawasimamie Ndugu,Wazazi na Jamaa wote waliofikwa na majeraha ya moyo na walioguswa na Msiba huo ambao ulitokea kutokana na Ajali ya Gari liloacha njia huko Karatu Arusha Tanzania. Mungu kazidi kuwasinamia Lucky Vicent English Medium kwa pigo hilo kubwa Na kuwaweka mahali pema peponi wote waliotuacha. #Rest_in_Peace_Amen!.

Download new Audio from Coyo Mc known as Ziwafikie.

Image
New Audio from Coyo Mc know as Ziwafikie produced by Day Dream & Kid Bway . Coyo Mc is a New School Rapper from Mecco Rocky City Mwanza Day Dream&Kid Bway. Download,Share and Listen it.    CLICK HERE TO Download.