Taarifa ya kwanza ya Wizara ya Habari kuhusu kupotea kwa Roma Mkatoliki. Taarifa za kupotea kwa Msanii Roma Mkatoliki na wenzake watatu baada ya kutekwa na kuchukuliwa na Watu wasiojulikana kwenye studio za TONGWE Dar es Salaam, zilianza kusambaa kuanzia juzi usiku (April 5 2017). Leo April 7 2017 Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ambayo iko chini ya Dr. Mwakyembe imetoa taarifa ifuatayo >>>> “Kwa dhamana yake katika tasnia ya Sanaa, Wizara imepokea kwa mshtuko taarifa za kutoweka kwa Mwanamuziki Ibrahim Mussa kwa jina la kisanii “ Roma Mkatoliki ””. " Wizara imefuatilia kwa karibu suala hili kwa kuwa lina muelekeo wa jinai. Hata hivyo taarifa kutoka vyombo vya dola zinathibitisha kuwa Roma Mkatoliki hashikiliwi katika kituo chochote cha polisi ." Kutokana na hali hiyo, Wizara inawaomba wadau mbalimbali na wananchi kwa ujumla kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa zozote zitakazo saidia kujua alipo msanii huyo.
Taarifa zilizopo ni kuwa Msanii Roma Mkatoliki kutokea katika Studio ya Tongwe ( Tongwe Rocords ) alivamiwa na watu wasiojulikana Majira ya Usiku wa kuamkia Siku ya Alhamisi. Msanii huyo alivamiwa Studioni hapo akiwa studioni hapo na kupelekwa sehemu kusilojulikana pamoja na mwemzake Moni au @ centralzone kama anavyojulikana. Familia ya Msanii Roma ( Mkewe ) ameweza kusema kuwa simu ya Msanii huyo(Mmewe) imekuwa ikiita tu bila kupokelewa hivyo akiwaomba Watanzania wote waweze kumpa ushirikiano wa taarifa zozote za kuhusiana na Msanii Roma (Mmewe) sehemu yoyote ile ambapo zlatapatikana.
Kufikia 2018 haya ndiyo maamuzi watakayofikia Canada kuhusu Bangi. Kadiri siku zinavyobadilika na miaka kusonga mbele ndivyo nchi mbalimbali duniani hufanya marekebisho katika sheria za nchi kulingana na hitajio la wananchi kwa maendeleo ya Taifa. Leo April 14, 2017 mtandao maarufu wa CNN umeripoti taarifa kuhusu mpango wa Serikali ya Canada chini ya Waziri Mkuu Justin Trudeau kuweka wazi mipango yake ya kuhalalisha bangi ifikapo 2018 ambapo kama Bunge la nchi hiyo litapitisha muswada huo, Canada itakuwa nchi ya pili duniani baada ya Uruguay kuhalalisha soko la bangi. Waziri Mkuu aliandika kwenye account yake ya Twitter: “ Ni rahisi sana kwa watoto wetu kupata bangi. Tutaibadilisha.“ – Justin Trudeau . Licha ya kutaka kuhalalisha bangi, pia yametajwa mambo matano ya kuyafahamu kuhusu pendekezo la Canada katika sera ya bangi ambayo rasmi itakuwa July 2018. 1: Serikali kusimamia mauzo ya bangi Serikali ya Canada itaweka mfumo maalum wa kuzalisha, kusambaza ...
Visit here to learn more than OneHundred Keyboard Shortcuts . More than 100 Keybord Shortcuts,(Microsoft Windows). 1.CTRL+C=Copy. 2.CTRL+X=Cut. 3.CTRL+V=Paste. 4.CTRL+Z=Undo. 5.Delete=Delete. 6.Shift+Delete=Delete the selected item permanently without placing the item in Recycle Bin. 7.CTRL while drugging an item=Copy the selected item. 8.CTRL+Shift while dragging item=Create shorticut to the selected item. 9.F2 Key=Rename the selected item. 10.CTRL+Right Arrow=Move the insertion point to the beginning of the previous word. 11.CTRL+Left Arrow=Move the insertion beginning of the next word. 12.CTRL+Down Arrow=Move the insertion point to the beginnin of the next paragraph. 13.CTRL+Up Arrow=Move the insertion point the beginning of the previous paragraph. 14.CTRL+Shift with any of the Arrow Keys=High light a block of text,Shift with any of Arrow Keys=Select more than one item in a window or on the Desktop,or Selected document. 15.CTRL+A=Select all. 16.f3 key search ...
Comments