Nchi 21 Duniani ambazo Raia wake siyo Walarimu.

Nchi 21 Duniani ambazo Raia wake siyo wakarimu, Afrika imetajwa nchi moja tu.
# millardayo.

Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Wroclaw Poland wametoa list ya nchi zenye wananchi wasiokuwa wakarimu duniani ambapo Romania imeshika namba moja ikifuatiwa na Hungary ambapo kwa mujibu wa utafiti huo watu wa Romania wanaongoza duniani kwa kuchukia ukaribu na mtu, kwa wastani mtu hutaka usimame sentimita 139 kutoka alipo.

Katika list hii nchi pekee kutoka Afrika ni Uganda ambapo imeshika namba tano kwa kuwa na watu wasiowakarimu duniani, huku mtu akitaka usisimame karibu yake kwa sentimita 127. Tazama list ya nchi 21 duniani zenye raia wasiowakarimu duniani, stori hii ni kwa mujibu wa www.indy100.com

Comments