Maneno Matatu ya Nape Kuhusu kutokuonekana kwa Roma.
Maneno matatu ya Nape Nnauye kuhusu Roma.
Baada ya mastaa mbalimbali kuguswa juu ya stori ya Roma mkatoliki na wenzake watatu kuchukuliwa na watu wasiofahamika kwenye Studio za Tongwe Records na kupelekwa sehemu isiyojulikana, sasa leo April 7 2017 Mbunge wa Mtama (CCM) Nape Moses Nnauye ameonesha hisia zake juu ya tukio hilo.
Kupitia account yake ya twitter Nape Nnauye ameyaandika maneno haya matatu kuhusu Roma…>>>
”Roma! Oooooh No!”
-Nape Nnauye.
Comments