Roma Aongea kwa mara ya lwanza baada ya kurudi Uraiani.

MIX VIDEO: Roma aongea kwa mara ya kwanza baada ya kurudi uraiani
By Millard Ayo.

Msanii wa Bongofleva Roma Mkatoliki na wenzake watatu wamerudi uraiani baada ya kuripotiwa kutekwa April 5 2017 na kupelekwa kusikojulikana, baada ya kurudi uraiani ameyaongea haya hapa chini.

"Siwezi kuongea mengi maana tunahitaji muda wa kupumzika nopende kuwaambia watanzania wote mimi ni mzima pamoja na wenzangu wote watatu Moni,Emma na Bin Laden hivyo pia nipende kuwashukuru watanzania wote kwa support yao japokuwa sijaweza kupita katika mitandao ya kijamii pia niweze lumshukuru ndugu Ruge Mtaaba kwa ushirikiano wake tangu asubuhi tumekuwa naye"

Comments