Nchi Ishirini Zinazoongoza kwa Mabilionea.

DUNIANI TOP 20 ya nchi zenye Mabilionea wengi zaidi Duniai.

Baada ya Shirika la Fedha duniani ‘IMF’ kutangaza kuongezeka kwa uchumi wa dunia ukilinganisha na mwaka 2016, taarifa iliyoweza kutolewa April 8 2017 ikionesha list ya nchi zenye mabilionea wengi zaidi duniani kwa mwaka 2017, kwa mujibu wa tovuti ya takwimu Statista.

Takwimu hizi zinaonesha kuwa;-

1.China ndiyo nchi yenye mabilionea wengi duniani ambao ni zaidi ya 609.

2.kifuatiwa na Marekani yenye mabilionea 552.

3.Ujerumani-109.

4.India-100.

5.Uingereza-89.

6.Uswizi-77.

7.Urusi-68.

8.Ufaransa-50.

9.Brazili-43.

10.Japani-42.

11.Italia-41.

12.Kanada-35.

13.Korea Kusini-34.

14.Uturuki-29.

15.Singapo-28.

16.Australia-27.

17.Tailendi-26.

18.Hispania-23.

19.Jamhuri ya Nchi za Kiarabu(U.A.E)-21.

20.Indonesia-17.

Katika list hii Sweden inakamata nafasi ya mwisho ikiwa na mabilionea 17.

Comments