Mwigulu Nchemba baada ya kutembelea eneo walilouawa Askari Nane . Wakati jioni ya April 13 2017 Wilayani Kibiti katika Mkoa wa Pwani, iliripotiwa kuwa watu wanaosadikika kuwa majambazi ambao haijafahamika idadi yao wakiwa na silaha walishambulia kwa risasi gari la polisi na kuwaua askari nane na kumjeruhi mmoja Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba leo April 14 2017 ametembelea eneo lilipotokea tukio la mauaji ya Askari nane wa Jeshi la Polisi na kusema kuwa waliotekeleza mauaji hayo watalipa damu ya akari hao iliyomwagika.
Mheshimiwa Raising aipongeza TanRoads kwa kuokoa TShs Bill 4. RAIS John Magufuli amepongeza timu ya wataalamu wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kwa kuokoa zaidi ya Sh bilioni 4 kwenye mradi wa ujenzi wa barabara ya lami ya Kyaka-Bugene mkoani Kagera yenye urefu wa kilometa 59.1....
Alichokiandika Mbunge Hussein Bashe kuhusu Roma Mkatoliki By Rama Mwelondo . TZA . Usiku wa April 5 2017 taarifa za kukamatwa kwa msanii wa hip hop Roma Mkatoliki zilianza kuenea katika mitandao ya kijamii kwa kuripotiwa kuwa Roma Mkatoliki na Moni wakiwa Studio za Tongwe Records walikuja kukamatwa na watu wasiojulikana na kuwapeleka kusikojulikana. Watu mbalimbali ikiwemo wasanii mbalimbali wamekuwa wakionesha hisia zao juu ya tukio hilo kwa kutumia kurasa zao za mitandao ya kijamii kuoneshwa kuguswa na tukio hilo, Mbunge wa Nzega Hussein Bashe ni miongoni mwa watu waliyotumia kuraza zao za instagram kuandika anachowaza kuhusu Roma. Who is behind all this? “ Ni genge ambalo limejipa mamlaka ya kupandikiza woga na chuki miongoni mwa jamii na kuharibu Taswira ya CCM. Tunawajibu wa kukataa woga ,Tunawajibu wa kutoruhusu Misuse ya vyombo vya Ulinzi na usalama, Tunawajibu wa kulinda Taifa letu ” “ Tunawajibu wa kupigania Values zilizopiganiwa na waasisi wa Tai...
Comments