Online Promoter|Blogger|dicksoneremiah@yahoo.com|dicksoneremiah on facebook|+255625927721 for Promotion.
Klerruu Teacher's College General Elections.
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
General Elections at Klerruu Teacher's College is near and it's planned to be conducted on Wednesday 17 May 2017.
This is for 2017-2018 SeasonLeadership.
Taarifa ya kwanza ya Wizara ya Habari kuhusu kupotea kwa Roma Mkatoliki. Taarifa za kupotea kwa Msanii Roma Mkatoliki na wenzake watatu baada ya kutekwa na kuchukuliwa na Watu wasiojulikana kwenye studio za TONGWE Dar es Salaam, zilianza kusambaa kuanzia juzi usiku (April 5 2017). Leo April 7 2017 Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ambayo iko chini ya Dr. Mwakyembe imetoa taarifa ifuatayo >>>> “Kwa dhamana yake katika tasnia ya Sanaa, Wizara imepokea kwa mshtuko taarifa za kutoweka kwa Mwanamuziki Ibrahim Mussa kwa jina la kisanii “ Roma Mkatoliki ””. " Wizara imefuatilia kwa karibu suala hili kwa kuwa lina muelekeo wa jinai. Hata hivyo taarifa kutoka vyombo vya dola zinathibitisha kuwa Roma Mkatoliki hashikiliwi katika kituo chochote cha polisi ." Kutokana na hali hiyo, Wizara inawaomba wadau mbalimbali na wananchi kwa ujumla kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa zozote zitakazo saidia kujua alipo msanii huyo.
The following the successful release of Phyno latest offering titled “Augment” featuring YBNL boss, Olamide (Baddo), Phyno comes through with the official music video directed by Unlimited LA . Check on it, share and enjoy DOWNLOAD MP4
ZITAMBUE NCHI AMBAZO WATU WAKE WAMEWAHI KUTAMAN KUONGOZWA NA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA TANZANIA; 1.Kenya mpaka kesho wanaonesha hali ya juu sana ya kumkubali MAGUFULI, Na wamekuwa wakituma ujumbe Mara kwa Mara kupitia ukurasa wa rais wa Kenya Mr uhuru Kenyatta, kuwa MAGUFULI njoo utuondolee ufisadi Kenya. 2. Colombia . Hii ni nchi maarufu sana dunian. Mwana riadha Carles Valdez, ameandika Mara kwa Mara katika kurasa zake, kuwa " the African rising star from Africa, please join us ,help us with this triumph corruption in our country ". 3. Uganda kwa Mzee mseven wametaka kuwa Na rais Magufuli, hawaijui Kiswahili vema, wanasema HIS EXCELLENCY JOHN POMBE MAGUFULI. ,NJOOO UTUNYOROOSHEEE, tunakutaka uku,. 4. USA , ni vigumu sana kuamini kwamba watu wa USA wanafuatilia pia, mmoja kaandika kwenye ukurasa wa Twitter kuwa, "Trump you are John too but you don't deserve to be respected as John of Tanzania, welcome to USA we need a president of your caliber ". ...
Tamko la waziri Makamba kuhusu bonde la Mto Ruaha . Jumapili ya April 9 2017 waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais-muungano na mazingira January Makamba aliamua kufanya mkutano na waandishi wa habari na kueleza mpango wake wa kuzindua kikosi kazi cha kitaifa kuhusu bonde la M to Ruaha mkuu Iringa . Mpango huo ambao makamu wa Rais na mawaziri watano wataelekea Iringa siku ya Jumanne ya April 11 2017 lengo likiwa ni kukagua na kuangalia bonde la mto Ruaha ambalo linakabiliwa na uharibifu mkubwa wa mazingira hususani wa ardhi. Uharibifu wa mazingira katika bonde la mto Ruaha kwa kiasi kikubwa unatokana na shughuli za kibinadamu zisizo endelevu zinazofanywa katika maeneo ya vyanzo vya maji pamoja na vilele vya milima, miteremko ya milima na katika mabonde. Baada ya kugundua uharibifu huo unaoendelea kufanyika katika bonde la mto Ruaha, serikali kwa kushirikiana na wadau imeona kuna haja ya kuwa na mtazamo mpya wa namna ya kukabiliana na changamoto za mto Ruaha Mkuu kwa ufa...
Visit here to learn more than OneHundred Keyboard Shortcuts . More than 100 Keybord Shortcuts,(Microsoft Windows). 1.CTRL+C=Copy. 2.CTRL+X=Cut. 3.CTRL+V=Paste. 4.CTRL+Z=Undo. 5.Delete=Delete. 6.Shift+Delete=Delete the selected item permanently without placing the item in Recycle Bin. 7.CTRL while drugging an item=Copy the selected item. 8.CTRL+Shift while dragging item=Create shorticut to the selected item. 9.F2 Key=Rename the selected item. 10.CTRL+Right Arrow=Move the insertion point to the beginning of the previous word. 11.CTRL+Left Arrow=Move the insertion beginning of the next word. 12.CTRL+Down Arrow=Move the insertion point to the beginnin of the next paragraph. 13.CTRL+Up Arrow=Move the insertion point the beginning of the previous paragraph. 14.CTRL+Shift with any of the Arrow Keys=High light a block of text,Shift with any of Arrow Keys=Select more than one item in a window or on the Desktop,or Selected document. 15.CTRL+A=Select all. 16.f3 key search ...
Comments