Popular posts from this blog
Maneno ya Nchemba Kuhusu Roma.
Maneno 39 ya Waziri Nchemba kuhusu Roma Mkatoliki . Usiku wa April 5 2017 taarifa za kukamatwa kwa msanii wa hip hop Roma Mkatolikia zilianza kuenea katika mitandao ya kijamii kwa kuandikwa kuwa Roma Mkatoliki na Moni wakiwa Studio za Tongwe Records walikuja kukamatwa na watu wasiojulikana na kuwapeleka kusikojulikana. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba ambaye ndio anahusika na usalama wa raia, ametumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha kuguswa na tukio la kutekwa kwa Roma Mkatoliki na Moni , Waziri Nchemba ameeleza kuwa amewaagiza polisi kufuatilia na kutoa taarifa kwa umma. “ Nimeshtushwa kwa kutokuonekana kwa Msanii Roma na Wenzake mpaka sasa. Nimeshtuka zaidi nilipofuatilia na kuambiwa hakuna kituo chochote cha polisi kinachowashikilia. Nimeelekeza Polisi wafuatilie kwa karibu kujua undani wa tukio hili na hatima yao na kutoa taarifa kwa umma ” -Nchemba.
Serikali Yawapandisha Watumishi 2000 Vyeo
Watumishi 2,000 Elimu wapandishwa V yeo WAZIRI WA ELIMU, PROFESA JOYCE NDALICHAKO . BUNGE limeelezwa kuwa Jumla ya watumishi 2,272 walipandishwa vyeo katika Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi katika kipindi cha 2015/16 huku miongoni mwao 71 walitoka Chuo cha Ualimu Korogwe. Kauli hiyo ilitolewa jana na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Stella Manyanya, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Korogwe Mjini, Mary Chatanda (CCM), aliyetaka kujua serikali ina mpango gani wa kuwapandisha daraja wale waliostahili na kuwa lini itawalipa madai yao ya fedha za likizo ambazo watumishi hawajalipwa kwa muda mrefu na wamekuwa wakishindwa kuzipata kwa wakati. Akijibu swali hilo, Naibu Waziri huyo alibainisha serikali inaendelea kulipa madeni, ikiwamo fedha za likizo kwa walimu au watumishi katika sekta ya Elimu, ambapo katika kipindi cha mwaka wa fedha 2015/16 hadi Juni 2016, jumla ya Sh. Bilioni 22.7 zililipwa kwa walimu 63,814. Aidha, alisema katika kipindi cha mwaka 2016/...
Wanyama wanaopewa Heshima kubwa za Kijeshi.
DUNIANI Viumbe watano wanaopewa heshima kubwa jeshini mbali na binadamu By Farhiyah Adam. Kwa kawaida wanyama hurahisisha maisha ya binadamu kwa kuwa walinzi, chakula na usafiri, lakini kuna baadhi ya wanyama na ndege walioweza kujiwekea heshima duniani hasa kwenye sekta maalum za kijeshi na wameweza kupata nafasi za juu jeshini. 1: Sir Nils Olav Nils Olav ni ndege aina ya Penguin aliyepewa cheo mara ya kwanza mwaka 1972 na kuwekwa kwenye timu ya walinzi wa mfalme Harald V Loudon wa Norway. Kwa sasa Sir Nils Olav ni Brigedia anapewa heshima zote za kijeshi ikiwemo kupigiwa saluti na kukagua jeshi. 2: Treo Ni mbwa aliyetumikia jeshi la Uingereza kuanzia mwaka 2001 mpaka 2015. Trio ana medali zisizopungua 63 ambazo alipewa baada ya kufaya kazi kubwa ya kutegua mabomu na kutambua mahali mabomu yalipofichwa. 3: William of Orange. William ni njiwa aliyekuwa mwanajeshi wa jeshi la Uingereza mwenye namba MI14 ambapo mwaka 1944 alipewa medali ya 21 baada ya kupeleka ujumbe uliook...
Darassa-Too Much.
Audio Download|Raymond-Mbeleko Remix.
Audio Download|Ali Kiba Feat Chidi Benz-Dada.
Audio Download|Juliana Kanyomozi-Wakajanja
To those who wants to Make and Earn Money Online.
Roma Aongea kwa mara ya lwanza baada ya kurudi Uraiani.
MIX VIDEO: Roma aongea kwa mara ya kwanza baada ya kurudi uraiani By Millard Ayo. Msanii wa Bongofleva Roma Mkatoliki na wenzake watatu wamerudi uraiani baada ya kuripotiwa kutekwa April 5 2017 na kupelekwa kusikojulikana, baada ya kurudi uraiani ameyaongea haya hapa chini. " Siwezi kuongea mengi maana tunahitaji muda wa kupumzika nopende kuwaambia watanzania wote mimi ni mzima pamoja na wenzangu wote watatu Moni , Emma na Bin Laden hivyo pia nipende kuwashukuru watanzania wote kwa support yao japokuwa sijaweza kupita katika mitandao ya kijamii pia niweze lumshukuru ndugu Ruge Mtaaba kwa ushirikiano wake tangu asubuhi tumekuwa naye "

Comments