Poleni kwa Wote Waliofikwa na Msiba Katika Ajali iliyotokea huko Karatu Arusha Tanzania

Eeee! Mungu kazidi kutuongoza katika hii safari yetu ya kila siku.
Ona kila Mtanzania analia chozi la Damu na kujawa huzuni juu ya kitu ambacho hakukitegemea.Bwana zidi kutusimamia maana hatuijui kesho yetu kazidi kuwapa moyo Watanzania wote kwa kufikwa na Pigo kubwa la Msiba waDereva,Waalimu na Watoto Wadogo na zaidi na zaidi kawasimamie Ndugu,Wazazi na Jamaa wote waliofikwa na majeraha ya moyo na walioguswa na Msiba huo ambao ulitokea kutokana na Ajali ya Gari liloacha njia huko Karatu Arusha Tanzania.
Mungu kazidi kuwasinamia Lucky Vicent English Medium kwa pigo hilo kubwa Na kuwaweka mahali pema peponi wote waliotuacha.
#Rest_in_Peace_Amen!.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa Kuhusu Kupotea Kwa Msanii Roma Mkatoliki.

Taarifa Kuhusu Mgomo wa Mabasi.