Roma, three colleagues found bruised: lawyer . Hip hop star Ibrahim Musa a.k.a Roma Mkatoliki . @TheCitizenTz. Dar es Salaam. Hip hop star Ibrahim Musa a.k.a Roma Mkatoliki and his three colleagues who went missing on Wednesday evening after a suspected abduction were yesterday found alive in undisclosed locations and circumstances. Speaking from Mwananyamala Referral Hospital where he and the three had been taken for treatment, Roma said : “I thank Tanzanians for their support. I’m well but I can’t talk more for now. I’m waiting for police procedures. ” He promised to hold a press conference tomorrow and divulge details ". By noon yesterday, Dar es Salaam Special Zone police commander Simon Sirro told the press that the whereabouts of Roma and his colleagues was unknown. However, about an hour later, it came to light that the artistes had been found and were at the Oysterbay Police Station. However, journalists were barred from interviewing them a...
MIX VIDEO: Roma aongea kwa mara ya kwanza baada ya kurudi uraiani By Millard Ayo. Msanii wa Bongofleva Roma Mkatoliki na wenzake watatu wamerudi uraiani baada ya kuripotiwa kutekwa April 5 2017 na kupelekwa kusikojulikana, baada ya kurudi uraiani ameyaongea haya hapa chini. " Siwezi kuongea mengi maana tunahitaji muda wa kupumzika nopende kuwaambia watanzania wote mimi ni mzima pamoja na wenzangu wote watatu Moni , Emma na Bin Laden hivyo pia nipende kuwashukuru watanzania wote kwa support yao japokuwa sijaweza kupita katika mitandao ya kijamii pia niweze lumshukuru ndugu Ruge Mtaaba kwa ushirikiano wake tangu asubuhi tumekuwa naye "
Utafiti Mpya kutoka kwa Wanasayansi, wamegundua tiba ya Hangover Hii ni dunia ambayo kila siku watu wanafanya utafiti wa mambo mbaimbali…sasa leo April 7, 2017 nakuletea matokeo ya utafiti uliofanywa na wanafunzi wa wawili nchini Marekani waliogundua tiba ya hangover. Unaambiwa katika stori iliyochapishwa na Daily Mail March 29, 2017, wanafunzi wawili kutoka Yale University wamegundua tiba hiyo ambayo wameapa jina la SunUp ikiwa ni unga uliotokana na mchanganyiko wa viungo vya asili ambao umegunduliwa kwa lengo la kuvunja vunja molikuli za sumu kwenye ini, na kubalansi glutamine pamoja na kuuamsha mwili kwa elektroliti baada ya kunywa pombe. Margaret Morese na Liam McClintock ambao waliathiwa sana na Hangover waligundua tiba hiyo baada ya kujaribu viungo vya asili kila kimoja kivyake katika tafiti huru kuthibitisha uwezo wake dhidi ya kuondoa athari za kilevi na ulinzi thabiti dhidi ya sumu itokanayo na kilevi kwa mtumiaji na baadaye kutengeneza unga huo ambao humtaka mt...
East Africa’s female Juliana Kanyomozi releases Wakajanja! A groovy urban pop hit destined to top regional charts. In this new song, Juliana showcases her versatility as a recording artist with ability to give international appeal to the Ugandan sound Get& Whatc it here. DOWNLOAD MP4 .
Eeee! Mungu kazidi kutuongoza katika hii safari yetu ya kila siku. Ona kila Mtanzania analia chozi la Damu na kujawa huzuni juu ya kitu ambacho hakukitegemea.Bwana zidi kutusimamia maana hatuijui kesho yetu kazidi kuwapa moyo Watanzania wote kwa kufikwa na Pigo kubwa la Msiba waDereva,Waalimu na Watoto Wadogo na zaidi na zaidi kawasimamie Ndugu,Wazazi na Jamaa wote waliofikwa na majeraha ya moyo na walioguswa na Msiba huo ambao ulitokea kutokana na Ajali ya Gari liloacha njia huko Karatu Arusha Tanzania. Mungu kazidi kuwasinamia Lucky Vicent English Medium kwa pigo hilo kubwa Na kuwaweka mahali pema peponi wote waliotuacha. #Rest_in_Peace_Amen!.
Comments