Breaking News.

Taarifa zilizopo zinazohusu Roma alipo.

Taarifa ambazo zimetolewa leo mchana na mmiliki wa Studio ya TONGWE zinasema kuwa Roma na wenzake ambao waliotekwa wameweza kujulikanaahali walipo amnapo ameweza kutaja kuwa Roma na wenzake wapo katika kituo cha Osterbay.
Taarifa zaidi nitakusogezea kila inapotokea mahali au sehemu yoyote ahsante.

Comments

Popular posts from this blog

Taarifa Kuhusu Kupotea Kwa Msanii Roma Mkatoliki.

Taarifa Kuhusu Mgomo wa Mabasi.